Tetesi: Pesa za maandalizi ya sherehe ya kuzaliwa CCM zapigwa na wajanja

Tetesi: Pesa za maandalizi ya sherehe ya kuzaliwa CCM zapigwa na wajanja

Wacha wafu wazikane.

Nakala kwa mzee TupaTupa leo uko wapi?
 
Muosha huoshwa , hivyo ndivyo unavyoweza kusema .

Taarifa kutoka lumumba zinadokeza kwamba fungu lililotengwa kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwa ccm , chama kilicholeta kila aina ya dhiki nchini Tanzania hazijulikani ziliko na kuna tetesi kwamba zimepigwa na wajanja .

Hivi sasa juhudi za kusaka vyanzo vipya vya kuwezesha shughuli hiyo zinaendelea , huku kukiwa na juhudi kubwa sana za kuficha taarifa hii , hata hivyo wazalendo wachache waliomo lumumba kwa malengo maalum wamevujisha .

Nakala kwa VUTA NKUVUTE .
Pale lumumba ndio chuo kikongwe duniani kwa kufundisha ufisadi sugu,mwenyekiti wa mkoa wa dar ccm anatengeneza arv feki
 
Lumumba ndiyo kiwanda cha kuzalisha wapigaji

Ova
 
Nami najiunga ccm nipige pesa huku chadema akuna pesa story tu pesa yote wanamtibia lisu
 
Mbona uthubutu ata kuleta mapato na matumizi ya CDM
 
Back
Top Bottom