Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ngoja tusubiri .Watashugulikiwa tu
Wavujisha siri , usitegemee gazeti la uhuru kuandika haya .Source please.
Mimi ingekua hizo Fedha hazijapigwa ndio ningeshangaa na kujiuliza sana,Muosha huoshwa , hivyo ndivyo unavyoweza kusema .
Taarifa kutoka lumumba zinadokeza kwamba fungu lililotengwa kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwa ccm , chama kilicholeta kila aina ya dhiki nchini Tanzania hazijulikani ziliko na kuna tetesi kwamba zimepigwa na wajanja .
Hivi sasa juhudi za kusaka vyanzo vipya vya kuwezesha shughuli hiyo zinaendelea , huku kukiwa na juhudi kubwa sana za kuficha taarifa hii , hata hivyo wazalendo wachache waliomo lumumba kwa malengo maalum wamevujisha .
Nakala kwa VUTA NKUVUTE .
Muosha huoshwa , hivyo ndivyo unavyoweza kusema .

Ushaambiwa kuna kila juhudi zinazofanyika kuficha tukio hili,so usiulize source lbda nenda DM!!!Source please.
Hayo ndio mashaka yangu aisee .Jamaa atachota tu toka hazina ili kufanya sherehe nani atamzuia? Miezi michache iliyopita kachota bilioni 2 eti chama cha wahuni kinaidai Serikali wakafanyia mikutano yao pale Dodoma.
Anakuambia eti Chama kimeiuzia Serikali shule yake huko Bukoba, ukienda PPRA hakuna rekodi za hayo manunuzi feki, wala mchakato wa tenda ya kuinunua shule hiyo haujulikani ulianza lini na ukamalizika lini na tenda ilitangazwa wapiJamaa atachota tu toka hazina ili kufanya sherehe nani atamzuia? Miezi michache iliyopita kachota bilioni 2 eti chama cha wahuni kinaidai Serikali wakafanyia mikutano yao pale Dodoma.
Anakuambia eti Chama kimeiuzia Serikali shule yake huko Bukoba, ukienda PPRA hakuna rekodi za hayo manunuzi feki, wala mchakato wa tenda ya kuinunua shule hiyo haujulikani ulianza lini na ukamalizika lini na tenda ilitangazwa wapi
Huko tuendako kuna watu watafungwa bila kujali kinga zao kikatiba .Anakuambia eti Chama kimeiuzia Serikali shule yake huko Bukoba, ukienda PPRA hakuna rekodi za hayo manunuzi feki, wala mchakato wa tenda ya kuinunua shule hiyo haujulikani ulianza lini na ukamalizika lini na tenda ilitangazwa wapi
Huko tuendako kuna watu watafungwa bila kujali kinga zao kikatiba .
Sasa hivi ni hela .CCM wamezoea kuiba kura