Uncle Yoso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 378
- 262
Kariakoo
dera lu nafikiri ndio kampuni ya sweden inayochapisha tanzania noteTulizo nazo sasa zilichapwa Sweden, kama unakumbuka zililalamikiwa kuwa sio imara zinachanika hovyo- 500 shilling note for example1
Swali kuntuKingine ambacho huwa sipati majibu ni kuwa, hawa wanaotutengenezea sisi hela huwa tunawalipa kitu gani kama gharama ya kututengenezea sisi fedha?
Kwanini usingemuomba ushahidi?.Acha ufala!