witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Duu unazo bei gani?
Eeh zilikuwa nyingi nyingi mkuu....sema Bank moja ilishanitatulia tatizo langu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu unazo bei gani?
Viwanda vingi vya pesa viko ujerumani lakini siku hizi mchina anateka soko kwa Kasi kubwa
Shikamoo kaka Mshana Jr.
Nakumiss sana nikikuona.....sijui kwanini.
Shikamoo kaka Mshana Jr.
Nakumiss sana nikikuona.....sijui kwanini.
labda kwasababu ya Meditation.
Madame B watanipiga mawe best....!!!Shikamoo kaka Mshana Jr.
Nakumiss sana nikikuona.....sijui kwanini.
Kuwa na amani tu... Mafuriko yamesomba mawe yote!!Madame B watanipiga mawe best....!!!
Kuwa na amani tu... Mafuriko yamesomba mawe yote!!
Sisi tuliokua zamani zilikuwa zikichapishwa peramiho songea...
Una uhakika
labda kwasababu ya Meditation.
Una uhakika
Sisi tuliokua zamani zilikuwa zikichapishwa peramiho songea...
kwenye fotokopi
Stationary
Hata manzese wanachapa