Pesa za nchi zinachapishwa wapi?

Pesa za nchi zinachapishwa wapi?

Kingine ambacho huwa sipati majibu ni kuwa, hawa wanaotutengenezea sisi hela huwa tunawalipa kitu gani kama gharama ya kututengenezea sisi fedha?
 
Unataka ukaokote malapulapu utengenezee magodoro!


Shikamoo pesa watu wanakuulizia uko wapi?unachapwa wapi?
 
Back
Top Bottom