Mimi na wewe ni pro government, Ila kwenye hili mimi naona Kuna sehemu halipo sawa.Naunga mkono hoja
Anyway mimi sio huyo uliyemuuliza kwa hiyo vijiji vyote vikifikiwa na miradi ya REA hizo pesa za REA tunachangia kila tukinunua mafuta au gesi au umeme unataka ziende wapi kulipa posho na mishahara ya wafanyakazi wa Tanesco au? Au unataka zifutwe once vijiji vyote vikipata umeme ,mission accomplished no need of any other Rural project? Tozo zifutwe?Mimi na wewe ni pro government, Ila kwenye hili mimi naona Kuna sehemu halipo sawa.
Njoo hapa tufanye mjadala, uniambie kwa nn unaunga mkono hili
Unaposema vijijini unaapajua lakini? unajua vipato vyao? mtu anunute mtungi mdogo wa 35,000 wakati chakula cha kukipika kwenye hiyo gesi ni mtihani? Hizo pesa wanataka kuzipiga tu na si vinginevyoPesa za REA zianze kupelekwa kwenye gesi ya kupikia ili vijijini nao waanze kutumia gesi badala ya kuni na mkaa.
Inawezekanaje? PESA za REA zielekezwe kwenye ruzuku ya gesi.
Takwimu zinasema umeme umeenda nchi nzima vijiji kibao vijiji vichache tu vimesalia kupata umeme
Pesa za REA sasa zipelekwe kwenye gesi ya kupikia.
Na sasa tuanze kupaza sauti wapunguze ile asilimia tatu wabakishe asilimia moja tu. Kwa kweli wanatuonea sana.Anyway mimi sio huyo uliyemuuliza kwa hiyo vijiji vyote vikifikiwa na miradi ya REA hizo pesa za REA tunachangia kila tukinunua mafuta au gesi au umeme unataka ziende wapi kulipa posho na mishahara ya wafanyakazi wa Tanesco au? Au unataka zifutwe once vijiji vyote vikipata umeme ,mission accomplished no need of any other Rural project? Tozo zifutwe?
Maisha kubadilika ni pamoja na huduma bora na nafuu za nishati.Mimi ni pro-government kwa 100%, ila Kuna baadhi ya sehemu tuache tu kwanza.
Gesj hii mnayozungumzia kumbuka tunaiagiza nje, hatuizalishi hapa nyumbani
Pili, kwa wwatu wa vijijini Cha kwanza ni maisha yao kubadilika alafu ndio tuje na gesi.
Vinginevyo tutakua tunampigia mbuzi gitaa
Ni sawa na kwenda kufungua yard ya magari vijijini ili kuwahamasisha watumie magari badala ya baiskeli.
Nipe hoja zako kwa nini unapinga hili then na mimi nikupe hoja zangu kwa nini naliunga mkono?Mimi na wewe ni pro government, Ila kwenye hili mimi naona Kuna sehemu halipo sawa.
Njoo hapa tufanye mjadala, uniambie kwa nn unaunga mkono hili
Hata wewe ni sawa, upo tayari tufanye mjadala na hili?Anyway mimi sio huyo uliyemuuliza kwa hiyo vijiji vyote vikifikiwa na miradi ya REA hizo pesa za REA tunachangia kila tukinunua mafuta au gesi au umeme unataka ziende wapi kulipa posho na mishahara ya wafanyakazi wa Tanesco au? Au unataka zifutwe once vijiji vyote vikipata umeme ,mission accomplished no need of any other Rural project? Tozo zifutwe?
Kuna watu nahisi kama kichwani zimeruka kidogo. Chakula tu cha kupika hata kwenye kuni tu hawana uhakika nacho.Unaposema vijijini unaapajua lakini? unajua vipato vyao? mtu anunute mtungi mdogo wa 35,000 wakati chakula cha kukipika kwenye hiyo gesi ni mtihani? Hizo pesa wanataka kuzipiga tu na si vinginevyo
Gesi ni nishati nafuu??Maisha kubadilika ni pamoja na huduma bora na nafuu za nishati.
Umeme, gas.
Pia maji salama
Sipingi kwa maana isije kufanyika kabisa hapana, napinga kwa sababu ya muda huu tuliopoNipe hoja zako kwa nini unapinga hili then na mimi nikupe hoja zangu kwa nini naliunga mkono?
Hapana wakati ni sasaSipingi kwa maana isije kufanyika kabisa hapana, napinga kwa sababu ya muda huu tuliopo
Tuendelee kufanya miradi mingi ya kukuza uchumi wa wananchi, alafu tuje kwenye hili la nishati ya gesi na umeme kwa matumizi ya kupikia.
Watanzania nusu ni maskini sana kwa mujibu wa data za bank ya dunia, hapa wanazungumzia wale ambao hawawezi hata kupata milo.mitatu kwa siku. Hawa wananchi asilimia kubwa wanaishi vijijini, ikiwa kupata mlo tu wa uhakika ni shida, leo wataweza kutumia gas ambayo watainunua ili kupikia ikiwa kuni anaziokota bure?
Ukiachana hao wa vijijini, sisi tu ambao tuna ajira na tupo mijini lakini gas imetushinda kutumia kupikia, tunatumia mkaa na gas ili kuifanya gas iweze hata kufikisha mwezi.
Wengi hili suala la gesi hamjalijua vizuri. Tanzania tunazlisha CNG, hatuzalishi LPG(hii mitungi ya kupikia).Hapana wakati ni sasa
Hata hiyo miradi ya Gesi itakuza uchumi
Kwa mujibu wa TPDC kwa gesi inayochimbwa tu Songosongo na Mnazi Bay haitumiki ipasavyo! Na mbaya zaidi nishati ya kuni inaiweka nchi kwenye hatari kubwa zaidi ya kugeuka jangwa!
Ukitembea maeneo mengi ya Tanzania kama ni mtu mwenye uelewa wa mambo utagundua hii nchi miaka si mingi sana tutaanza kuzalisha chakula pungufu na kukosa hata mvua za kujaza mabwawa yetu ya umeme kwa ukataji wa miti wa kutisha unaoendelea kwa sababu ya matumizi ya kuni na mkaa
Mkuu labda mtungi ukiwaishiaKuna watu nahisi kama kichwani zimeruka kidogo. Chakula tu cha kupika hata kwenye kuni tu hawana uhakika nacho.
Leo ndio aje kuweza kununua gesi kila inapoisha