Pesa za silva zinapotea mtaani

Mjmi sizijui rangi.Hivi zile sarafu za Tsh hamsini,mia na mia mbili(tukiacha mia tano)ni za rangi ya SILVA/SILVER
NB;Tukiachana na mambo ya "Silversands"@
 
Kichwa cha habari sarafu ya silva ,thread sarafu mchanganyiko, tuelewe kipi bwashee
 
Sio kwamba hizo shilingi zipo humo ndani n bajeti kwa ajili ya atakayeshinda? na ndio mzunguko wnyw huo
Au ndo hakuna kushinda ๐Ÿ˜‚


Eh bc hao wachina n Choka mbaya sasa c 200 200 ndo wanajaza magunia kukaa nazo ndani ๐Ÿ˜‚
Nimenya kazi na wachina anachokisema ni sahihi, kwenye kambi zao wamezifungia mia mbili nyingi ili ziweze kuendesha biashara yao ya bonanza!
Wanazoziweka kwenye mashine ni kiasi kidogo tu kwa ajili ya mzunguko kwa atakayeshinda... Lakini probability ya mchina kuliwa ni chache sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!
 
Dubwi kwasasa hawatumi hizo mia mbili, wamekuja na pesa zao ziko kama mia mbili lakini zao nyeupe
Bado wanatumia mia mbili karibia makampuni yote, kampuni mpya kama slots and keno, meteora na agamalotto ndo wamekuja na hizo coin za china kama backup plan endapo wakiishiwa mia mbili mashine iendelee kupiga kazi!
 
Haya madudu ilibidi yapigwe marufuku
Hayawezi kupigwa marufuku leo wala kesho, yanaingiza mapato makubwa alafu kuna wakubwa wa nchi wamewakingia mgongo hao wachina wanakula nao sahani moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ