Tetesi: Pesa za UNICEF milioni 41 zaliwa Makete

nyundo2017

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
1,439
Reaction score
861
Kuna tuhuma ya wizi wa pesa za miradi za Unicef 41 mln zimeliwa ktk mazingira ya kutatanisha na kumekuwa na danadana za nani kala pesa hizo ukweli ukiwa DED na DT ndiyo wahusika wakuu.
Mkuu wa mkoa wa njombe alifikia hatua ya kuingilia kati kwa kuunda tume bali imeshindikana kuchukua hatua stahiki dhidi ya watuhumiwa kwa kupewa taarifa za uchunguzi za uongo kwa kupotoshwa na Mkuu wa TAKUKURU Njombe kwa maslahi yake ambapo amekuwa akiwaweka mahabusu watumishi wa chini ili kupotosha ukweli baada ya kuwaomba rushwa na kugoma.

DED wa Makete na DT wake wanatambua kabisa hela wamezira wao kwani watumishi wa chini walipewa maelekezo ya kuandaa mpango kazi kwaajiri ya marejesho Unicef ili waweze kupata pesa nyingine kwa maelekezo ya DED na ndivyo siju zote walikuwa wanaagizwa kufanya hivyo ili Unicef wasiwanyime hela za miradi.

Leo tunashangaa watumishi wa chini wasio na hatia wanasimamishwa kazi kwa tuhuma zisizo zao na baadae wanarudishwa kazini kwa sms za simu tena wanasimamishwa huku wengine wanaofahamu hela zimeliwa na DED na DT wakigomea barua za kusimamishwa na kujieleza bila hatua zozote kuchukuliwa kwani wanatambua nini kinafanyika.

Hatuna imani na mkuu wa TAKUKURU Njombe kwani anawalinda DED na DT naniwazi keshapewa hela kwani kuna nyaraka hazionekani na hatuna imani na tume zilizoundwa pia hatuna imani na DED na DT tunaomna TAKUKURU makao makuu waje washughulikie hili swala hapa kuna uonevu mkubwa na ukweli unapindishwa,DED na DT wakae pembeni kupisha uchunguzi na wizi siyo wahela hizo tu ni nyingi bali wanabebwa na mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa njombe.

Waziri mkuu- taarifa
Mkuu wa mkoa njombe-taarifa
RAS mkoa njombe-anataarifa ila anazembea
 
Kuna mtu amekula hela zama hizi za JPM? Hajitakii mema.
 
Des

Wa makete anaitwa nani? Na Dt Wake anaitwa nani?
 
Back
Top Bottom