kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Hata vyuo viliathirika sana Na covid 19, vyuo binafsi ndio kabisaaa! Pesa tulizopata za kupunguza athali za corona zisiishie kupanua madarasa shule za msingi Na secondary tu, Bali ziende hadi kwenye vyuo vya kati Na vyuo vikuu ili kusaidia kuweka mazingira ya kupokea wanafunzi wwngi watakaotokana Na kupanua madarasa kwenye shule za msingi Na secondary ili kupokea wanafunzi wengi ambao watahitaji kwenda vyuoni.
Vyuo binafsi ni mdau muhimu sana kwenye elimu, lakini vimezoofishwa Na corona kiasi cha kushindwa kujiendesha. Wanalipa mishahara ya watumishi hata kama vyuo vimefungwa, wazazi wanashindwa kulipa ada za watoto wao hivyo vyuo kushindwa kijiendesha.
Pesa hizi za corona ziende vyuoni kujenga vyumba vya madarasa, maabara na karakana zaidi ili kujiandaa Na ongezeko LA wanafunzi watakaomaliza shule za secondary, kulipa mishahara, na kusomesha wahadhiri