ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Hivi hizi pesa tunazoweka kwenye simu ikitokea umefariki hivi kweli kuna watu wanapata wakati kweli kufatilia pesa za marehemu kwenye simu maana naona kama hizi hela zinapotea kabisa. Sijui kuna utaratibu gani uwe mzuri na ushauri namna gani ifanyike.