Kuna sheria wataalam watatueleza vizuri but ni kuwa kuna muda maalum umewekwa kisheria ambapo km akaunt haitatumika kwa muda huo(sijui ni miaka mingapi but nahisi sijui ni 10) pesa hizo zinarudishwa serikalini kupitia BOT hii inaapply pia kwa akaunti za bank ambao wahusika hawajajitokeza.