Pesa zilizotumika katika Kampeini ya Prof. Janabi zilikuwa zinatoka wapi na zitalipwaje?

Pesa zilizotumika katika Kampeini ya Prof. Janabi zilikuwa zinatoka wapi na zitalipwaje?

Pesa zilizotumika katika Kampeini ya Prof Janabi zilikuwa zinatoka wapi na zitalipwaje?.

Gharama za Usafiri
Hotel
Meals and accommodation
Allowance n.k

Mbona nchi nyingine hawakutumia pesa kubwa kiasi hiki?.
Ameshashinda,ndio wauliza matumizi
 
Pesa zilizotumika katika Kampeini ya Prof Janabi zilikuwa zinatoka wapi na zitalipwaje?.

Gharama za Usafiri
Hotel
Meals and accommodation
Allowance n.k

Mbona nchi nyingine hawakutumia pesa kubwa kiasi hiki?.
Ameshinda,szmeni.kziba kura.Hamna hoja.
 
Pesa Zipo Mkuu
Baadaye Hawa Wanyama Wajiandae
Twiga, Tembo, Faru, Mbuni Nao Watakwenda Kulipa Fadhila
PESA ZA GOAL Zipo Chekwa Zitashindikans Vp Kwenye Campaign Ya Sasa Tutaanza
Kula Mboga Asubuhi, Mchana, Jioni
Tanzania Tuna Kazi Sasa
 
Pesa zilizotumika katika Kampeini ya Prof Janabi zilikuwa zinatoka wapi na zitalipwaje?.

Gharama za Usafiri
Hotel
Meals and accommodation
Allowance n.k

Mbona nchi nyingine hawakutumia pesa kubwa kiasi hiki?.
Labda Foreign Affairs! Pesa kubwa kiasi gani imetumika?
 
Ni Muhimu Serikali Ituambie nini umuhimu wa Janabi kuwa Mkurugenzi wa WHO, na kama taifa tunafaidikaje?

kwasababu Tuliona Kikwete akizunguka naye na tuliona Mabalozi wakipeleka Barua maalumu kutoka kwa Rais SSH kwenda ,marais kama Museven na wengine ambao hawakufikiwa mojakwa moja lakini tulifahamu wote hao walitumwa na Ikulu, je gharama hizo zilikuwa za lazima na kama ilikuwa ni lazima nini faida ya Janabi kuwa mkurugenzi wa WHO afrika?

Je ni nafasi zote kimataifa tunagharimia kiasi hicho na kama ndiyo kwanini na tunafaidikaje, na kama siyo kwanini tunafanya haya sasa?

Je, Nikwasababu watu wetu hawawezi kujieleza kujitafutia ushawishi wenyewe mpaka serikali ihusike au kwanini hasa ni elimu yetu au serikali zote hufanya hivyo nasi tukaamua kuanza kufanya haya?

Taarifa ya CAG mwakani ije na majibu tumetumia kiasi gani na kwanini au kulikuwa na ulazima gani kufanya hivyo, na faida gani tuna pata au kama ni hasara ni kiasi gani, na je kulikuwa na ulazima wa nchi/taifa kumfanyia kampeni kiasi hicho kwa gharama hizo?
 
Back
Top Bottom