PEST CONSULT: Huduma ya Fumigation

PEST CONSULT: Huduma ya Fumigation

Loxodona

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
354
Reaction score
618
Pest Consult ni Kampuni iliyosajiriwa nchini Tanzania na kuruhusiwa kutoa huduma ya Fumigation/Kudhibiti Visumbufu (Pests) na Magugu. Huduma zetu ni bora na zinatolewa kwa misingi ya kisayansi na wataalam waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha.

Ofisi zetu zipo eneo la Mianzini jijini Arusha na tutakufikia popote ulipo. Hadi Sasa tumeshafanya kazi na Taasisi mbalimbali ikiwemo Taasisi za elimu ya juu, Balozi, Mahoteli, mahospitali pamoja na Nyumba za watu binafsi. Tunawakaribisha wote wenye changamoto na mnaosumbuliwa na Mende, Panya, Kunguni, Mchwa, Mbu n.k.

Kampuni yetu inatoa huduma zetu kwenye Mahoteli, Nyumba za kulala wageni, mabweni, hostels za wanafunzi, vyuo, viwanda, maofisi, vyombo vya usafiri, kumbi za starehe, majumbani n.k. Kabla ya kukupa huduma, tutafanya Ukaguzi (na kukuandalia taarifa) bure Ili kujua ukubwa wa tatizo na kukubaliana bei kulingana na ukubwa wa tatizo na eneo linalotakiwa kufanyiwa kazi.

Pamoja na kudhibiti pests, tunatoa pia ushauri na elimu kwa wateja wetu ya namna ya kudhibiti pests katika maeneo yao.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0620855933 au tembelea website yetu.

823514162.jpg
1134447606.jpg
679593116.jpg
239233372.jpg
 
Back
Top Bottom