Pestana Pub- Dodoma

Ngoja tumfikishie taarifa Frank Mtei,mmiliki wa Pestana, aje asome ujumbe wake huku Mkuu!

By the way ni mtu msikivu,tu naamini atayafanyia kazi!

Tatizo ni hiyo Lugha.......itampiga chenga..ila ni kweli katika vitu vinavyoniboa pale ni huduma mbovu ya chakula....mara ya mwisho tuligombana sana na wahudumu na mpishi mkuu ....yaani unapewa menu unachagua..baada ya muda unaambiwa hicho chakula hakuna...then unachagua kingine ....unakaa muda mrefu wanaleta lakini kinakuwa na mapungufu wa vingine ambavyo vimeandikwa kwenye menu...yule mhudumu akaniambia pale tatizo ni Chef ..kwamba yuko Local sana hajazoea majiko ya sehemu kama zile...Halafu jamaa wanagombana kwa sauti kichizi na matusi kibao mpaka wateja tukawa tunajiuliza uongozi uko wapi pale....tangu siku ile sijawahi kuagiza chakula pale
 
[emoji23] [emoji23]
Hivyo hivyo mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tumfikishie taarifa Frank Mtei,mmiliki wa Pestana, aje asome ujumbe wake huku Mkuu!

By the way ni mtu msikivu,tu naamini atayafanyia kazi!
Mwambieni ule mziki wake ni shida pia... Very poor atafute mziki/sound system unaoeleweka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…