MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
...bado natanzika na swali hili...
...bado natanzika na swali hili...
..........Mbu wengine wanaivaa kwa ajili ya jamii inayowazunguka tu na wala si kiapo wala nini! Ajulikane naye ameoa/olewa hata kama ni ndoa 'hewa'. Ila kuna wengine wanavaa kama PROTECTION eti wasitongozwe ovyo! Mfano mtu ambaye ameoa/olewa lakini ndoa ikaepa....LOL
Haya nilikuwepo:A S 103:
Kwa wafuasi wa vatikani
A: B pokea pete hii....iwe ni ishara ya uaminifu wangu kwako........
B: A pokea pete hii....iwe ni ishara ya uaminifu wangu kwako........
Er....am sticking to that!
Swala la pete siku hizi kuna mitazamo miwili🙁
...hiyo pete uliyoivaa ("ya ndoa") maana yake nini?
lahh,...RR, hivi uaminifu 'wanaouzungumzia' ni upi bana.
Mimi najionea viroja tu haya mambo ya pete.
Hata mtu avae pete yenye vimulimuli, naona pete
imeshapoteza maana...
...LOL...miaka mitatu imepita tangu umetoa jibu la kwanza. Mwenzio hata sikumbuki
nimeziweka wapi zangu,...[uligusia mwanaume ni kiashiria cha utunzaji wa familia]
Haya, natafakur majibu ya RR Hapa chini;
lahh,...RR, hivi uaminifu 'wanaouzungumzia' ni upi bana.
Mimi najionea viroja tu haya mambo ya pete.
Hata mtu avae pete yenye vimulimuli, naona pete
imeshapoteza maana...
Huwa natamani tungeishi yale maneno wakati tunavalishana pete ...........kuliko kuzivaa wengine huwa zinawachubua inabidi wazivue kwa mujibu wa maelezo.
Symbolism of love and devotion "a circle" which means forever.. thats why some people use diamond rings signifying that diamonds are forever (hence the marriage being forever)
Na inavaliwa mkono wa kushoto kidole inachovaliwa sababu historically watu walikuwa wanaamini kwamba kuna vein inayotoka kwenye moyo mpaka kwenye hiki kidole (kwahiyo ukivaa kwenye hicho kidole unasignify close to the heart)
Kwahiyo in short its just symbolic and traditional
...ni hali ya binadamu kupenda kuweka alama yake. kama wanyama wanavyo kojoa kuwaonya wengine.
Ufisadi uko kila mahali mkuu....
Morals hazipo....ila bado haiondoi maana halisi ya pete....ishara ya uaminifu!
Ufisadi uko kila mahali mkuu....
Morals hazipo....ila bado haiondoi maana halisi ya pete....ishara ya uaminifu!
Ah....................Ina maana we Mbu huna?
Ulikuwa nazo ukavua au bado huja'shurtishwa" kuvaa? LOL
..................Haifai kukata tamaa kiasi hicho!! je kama mwenzio anaamini katika pete?!!
Dah - Hii post imenikumbusha Pete yangu iliyopotelea PR Guest House miaka hiyoooooooo!
kwahiyo tunaotaka kuoa tuachane na Pete?
Dah - Hii post imenikumbusha Pete yangu iliyopotelea PR Guest House miaka hiyoooooooo!
...sii ndio hapo hon.RR....unajua mimi natanzika wapi? kwenye kiapo panasemwa "mwenzangu, pokea pete hii ikiwa ni alama na uthibitisho wa upendo wangu kwako".... au nimekosea?...inamaana ni alama na ishara kwa mwenza wake tu, Period... ruksa kuivua nikishatoka nyumbani (!?)
Mwj1 wangu jamani, pete nimeivalia rohoni.
Kidoleni inanichubua [ref maneno ya Chauro,] na ile nyingine inanipwaya 🙁
Dah - Hii post imenikumbusha Pete yangu iliyopotelea PR Guest House miaka hiyoooooooo!