MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
...lol...inategemeana na imani yako juu ya pete hiyo. Una hiari ya kuwasikiza RR na MwanajamiiOne,
au Chauro aliyeandika wengine zinawachubua vidole.
Ila natanzika na wale ambao wakikuona na pete utadhani nyuki wameona asali,...!
Kwanini lakini? Yaani bila pete mtu waonekana mkora tu? [hapa nazungumzia w'wake wanaovutiwa na
wanaume wenye pete]
LOL...Baba_Enock,..ulipoivua hiyo pete na uaminifu uliuvua hapo, au uliivua kwakuwa ilikuwa inakusuta?
Timbwili lake lilikuwaje nyumbani Mama_Enock alipokuuliza pete iwapi?
Kwa hiyo ya Blue hapo...........sina la kuongeza!