Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Ni mapambo tuu mpaka ivaliwe kwa maana maalumHebu wazoefu mnasemaje kuhusu hivi vipete vya kwenye miguu maana wadada wanavipenda kuvivaa...
Ni kweli vina tafsiri ama ni urembo tu?
Hahaha Msiniseme lakini...
Kwa wahindi wao wanasema inasaidia kuubana uke.
Kwa wabongo watakua wanabana nini?[emoji13] [emoji125]Kwa wahindi wao wanasema inasaidia kuubana uke.
Watu wenye upungufu wa kisaikolojia hupenda kufidia udhaifu huo kwa extreme makeups na mapamboWearing a ring is a distinction of honour, but wearing many rings is usually a sign of someone who wants to attract attention to themselves, however many rings are a detraction from the personality, and perhaps a sign of low-self confidence
DuuuuuWahindi pete ya ndoa wanawake wanavaa kwenye vidole vya miguu.
Binafsi nikikutana na wastaili hii huwa nafikili ni vyura vinaojiuzaHebu wazoefu mnasemaje kuhusu hivi vipete vya kwenye miguu maana wadada wanavipenda kuvivaa...
Ni kweli vina tafsiri ama ni urembo tu?
Hahaha Msiniseme lakini...
Watu wenye upungufu wa kisaikolojia hupenda kufidia udhaifu huo kwa extreme makeups na mapambo
Unakuta mtu huyo huyo kavaa
Vidani zaidi ya kimoja
Pete nyingi
Vishaufu mpaka kitovuni
Vikuku na shanga miguuni mikononi kiunoni shingoni nk nk
Na mara nyingi ni wale warefu kwenda chini kama salama [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Vile vanavyovaa puani nkAaah!
Mshana vishaufu ndio vikoje hivyo?