Pete kwenye vidole vya miguu ni pambo ama ni ujumbe?

Mimi napata hisia nyingine kabisa, ukimuuliza bei gani atakujibu kisayansi, wengi wao wako hivyo!
 
Ni mapambo tuu mpaka ivaliwe kwa maana maalum huu ni urembo wa kawaida Hii ni alama ya satanism huyo kavaa serpent, nyoka wa eden
Maana zingine kwa sie tusiojua saa zingine ni za kuharibu hali ya hewa bila kutarajia
 
Urembo wa kawaida lakini pia kuna wakati kuna siri nyuma yake
 
Mambo ya kishirikina na kiimani
Duuh so ukimsogelea tu tayari unapigwa limbwata la nguvu hahahahaha! Duniani kuna mambo, kuna watu wa jamaii ya Indonesia porini kule kuna tatoo ukiichora unapata nguvu ya kumvuta mwanamke yeyote unayemtaka na nguvu ya kutwanga inaongezeka....aiseeee
 
Kuna dadayangu mtoto wa mama mkubwa alikuwa anapenda kuvaa hivyo ila mama yangu alikuwa anamkemea kila alipo vaa na mara ingine akivikuta chumban alikuwa anavichukua .sikuwa naelewa maanayake na sikujua kwann mama alikuwa mkali wakati ule.

Japo bado sielew
 
Duuh so ukimsogelea tu tayari unapigwa limbwata la nguvu hahahahaha! Duniani kuna mambo, kuna watu wa jamaii ya Indonesia porini kule kuna tatoo ukiichora unapata nguvu ya kumvuta mwanamke yeyote unayemtaka na nguvu ya kutwanga inaongezeka....aiseeee
Duu dunia ya leo wala huhitaji ndele
 
Sasa huyo mama atakuwa anajua maana yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…