Pete kwenye vidole vya miguu ni pambo ama ni ujumbe?

😎😎😎😎😎😎... Tatoo, Kikukuu, pete, kutoboa ulimi na kipini, kipini puani, sikioni, au kwenye kope, kuchoma nywele.. vyote hivyo ni urembo ingawa vyatumika kama ishara pia
 
Hebu wazoefu mnasemaje kuhusu hivi vipete vya kwenye miguu maana wadada wanavipenda kuvivaa...

Ni kweli vina tafsiri ama ni urembo tu?

Hahaha Msiniseme lakini...

inategemea mvaaji ni wa wap na tamadun zipi. kwa Tz anavaa kahaba aliyejichokea kwa utafutaji wa njia za kawaida. hii ni pamoja na helen ya pua/ulimi, kikuku, shanga, tattoo za matako, kope bandia, macho bandia, kucha za kubandika za mikono, kigodoro, sidiria za boost, bleach, na mwisho ni puti usoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…