unatakiwa kuendesha maisha kwa mipango thabiti,hakuna asie na bahati,tatizo ni jinsi ya kujitambua na kuitumia vizuriHizi pete zinaleta bahati kweli?
Kuna machinga aliniletea ninunua nkamuuliza we mbona huna bahati hakunijibu.
Kuna ukweli juu ya hili suala?
Cc mshana jr
Fanya kazi mkuuHizi pete zinaleta bahati kweli?
Kuna machinga aliniletea ninunua nkamuuliza we mbona huna bahati hakunijibu.
Kuna ukweli juu ya hili suala?
Cc mshana jr
Kwa sehemu kubwa ni imani.. Kwa uchache zipo ila hazipatikani kirahisi namna hiyo... Na hao walioweza kubahatika kuzipata wako vizuri mno...Hizi pete zinaleta bahati kweli?
Kuna machinga aliniletea ninunua nkamuuliza we mbona huna bahati hakunijibu.
Kuna ukweli juu ya hili suala?
Cc mshana jr