Pete wanazoziita 'Pete za bahati' ni kweli zinaleta bahati?

Pete wanazoziita 'Pete za bahati' ni kweli zinaleta bahati?

Twinawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Posts
2,431
Reaction score
5,336
Hizi pete zinaleta bahati kweli?

Kuna machinga aliniletea ninunua nkamuuliza we mbona huna bahati hakunijibu.

Kuna ukweli juu ya hili suala?

Cc mshana jr
 
Hizi pete zinaleta bahati kweli?

Kuna machinga aliniletea ninunua nkamuuliza we mbona huna bahati hakunijibu.

Kuna ukweli juu ya hili suala?

Cc mshana jr
unatakiwa kuendesha maisha kwa mipango thabiti,hakuna asie na bahati,tatizo ni jinsi ya kujitambua na kuitumia vizuri
 
Bahati ya machinga ni wewe kuingia mfukoni kuinunua Pete, sasa jiulize bahati yako ni kuuza nini na kumwuzia nani. Hii ya kwako haihitaji Pete.
 
Amka wewe.

Achana na mambo ya Bahati.

Bahati ni juhudi yako
 
Hizi pete zinaleta bahati kweli?

Kuna machinga aliniletea ninunua nkamuuliza we mbona huna bahati hakunijibu.

Kuna ukweli juu ya hili suala?

Cc mshana jr
Kwa sehemu kubwa ni imani.. Kwa uchache zipo ila hazipatikani kirahisi namna hiyo... Na hao walioweza kubahatika kuzipata wako vizuri mno...

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom