Pete ya dhahabu inauzwa shilingi ngapi?

Pate za dhahabu huwa zinauzwa kwa gramu ss inategemea unataka ya gramu ngap jarib kupita kwa masonara ujue bei coz gram znapanda kila wakat.
 
Bei ya pete inategemea ina uzito gani na bei kwa gram 1 ni sh ngapi?

Pita mitaa ya Kisutu kuna sonara wengi sana pale, watakupa bei ya gram 1, then utajua unzotaka ni sh ngap
 
Bei ya pete inategemea ina uzito gani na bei kwa gram 1 ni sh ngapi?

Pita mitaa ya Kisutu kuna sonara wengi sana pale, watakupa bei ya gram 1, then utajua unzotaka ni sh ngap
Apite Mtaa Wa Kitumbini Maduka Mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…