Pete ya uchumba ya Jacklyn Wolper

  • Ina maana penzi lina mipaka? Ili uoe/uolewe inabidi utafute mtu wa kabila lako au mtu wa kijijini kwenu? Ukizidi hapo wewe basi ni opportunist it doesnt matter whether he/she is of which tribe or area. Jifunze kuwa sasa hivi dunia ni kijiji watu wanakutana kwenye mitandao, wanachumbiana kwenye mitandao regardless ni wa wapi na wanaenda kufunga ndoa wakati ni mara ya kwanza kuonana.
Toka lini mcongo akaowa mtz?yaani labda huyo mtanzania alete benefit kwa huyo mcongo other wise ni ngumu sana,hawa wanaowa wazungu ili wapate papers,yaani katika yote hawa ni maopportuniste
a
 
Halafu wanawake bwana hapa bado wanamtetea mwanamke mwenzao aliyetumbuliwa. Khaa
 
hihihiii kakolea sio? na wanapimaga kweli au hawa madogo wanaamua kujitroa akili wanawake wenyewe wanatiana hadi na mashetani
Hili la kupima nalo neno ........... maana sio kwasababu ya Wolper ila maisha yenyewe tu sio, japo hayo ya maisha ya nyuma ya mtu si tatizo kwani waswahili wanasema ukimchunguza sana bata huwezi kumla.
 
Kuna mpya hko insta kwamba mcongo anamtishia jack atasambaza picha zke za uchi amekasirika kwNn anatoka na harmo,bac jack akaulizwa ulishapga pic za uchi anasema kuna cku walitoka na mcongo night wakapga sana ulabu krd home jack yupo tilalila akasaula viwAlo akajiachia mcongo c akampga pic ye akachukulia poa c anajua mume mtarawajiwa,sasa mziki wa hzo pic ndo anauckilizia sasa hvi itakuwaje,kasharipot polic kwa tahadhar kwa kikinuka tuu wajue pakuanzia,jmn wadada wa bongo movie wengi hawajielew nashangaa wtu wanaomsema wema km ndo malaya wa ma staa wkt tabia zao zinaendana tuu ney wa mitego alishamaliza!!!!!!
 
bongo rahaaa kweli...asee ulaya siendi
 

mdada anakubali kuvishwa pete bar? hayo mambo hakuna Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…