- Ina maana penzi lina mipaka? Ili uoe/uolewe inabidi utafute mtu wa kabila lako au mtu wa kijijini kwenu? Ukizidi hapo wewe basi ni opportunist it doesnt matter whether he/she is of which tribe or area. Jifunze kuwa sasa hivi dunia ni kijiji watu wanakutana kwenye mitandao, wanachumbiana kwenye mitandao regardless ni wa wapi na wanaenda kufunga ndoa wakati ni mara ya kwanza kuonana.
aToka lini mcongo akaowa mtz?yaani labda huyo mtanzania alete benefit kwa huyo mcongo other wise ni ngumu sana,hawa wanaowa wazungu ili wapate papers,yaani katika yote hawa ni maopportuniste