BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
hahahahaahh umenichekesha sana! Kuna mdada mmoja alimnunulia mpenzi wake chupi nzuri sana za kwenye sale za Calvin Klein kama 10 hivi. Ila shida zote zilikuwa za rangi moja. Jamaa akamshukuru sana ila mpenzi mbona zote zinafanana? Sasa si watasema nina chupi moja tu? Mdada akamuuliza akina nani hao? Jamaa hakuwa na Jibu. Inabidi niwe mpole tu sasa nitachora jina lako kwenye paja langu.
Rev umekamatwa vizuri sana LOL! sasa hata kwenye paja kwani wakati unavaa zile nguo zenu takatifu Marev wenzio hawawezi kuiona picha ya mwanakondoo wako na wao kukuuliza kulikoni mwenzetu na hii picha kwenye paja?