Pete za Maulamaa

Pete za Maulamaa

pete nyingi ni ushirikina
wachache wanavaa wakiamini ni urembo
Zile pete za ndoa mara nyingi huwa ni utambulisho wa ahadi na zuio kwa mtu mwingine anayetaka kujaribu engagement. The house/room is occupied; try somewhere else.
 
Ukivaa kama urembo/pambo ni sawa, ukivaa kama ULINZI ni kosa kubwa, hiyo ni SHIRIKI, unakuwa katika waliokufuru.
 
Ukivaa kama urembo/pambo ni sawa, ukivaa kama ULINZI ni kosa kubwa, hiyo ni SHIRIKI, unakuwa katika waliokufuru.
Na vipi nikivaa kama utambulisho au ishara kwa ahadi yangu ya ndoa?
 
Na vipi nikivaa kama utambulisho au ishara kwa ahadi yangu ya ndoa?
Katika uislam hakuna pete ya ndoa ni jambo jipya, ila ikiwa ni mpenzi(mkeo) alikupa kama zawadi, hakuna tabu, kwenye dini kila jambo linaemda kwa nia.
 
Hata FaizaFoxy unaweza kuta anavaa hayo mapete ya bahati!
Msome Arsis, jini mwenyewe naelezea kuhusu pete za kijini:

Back
Top Bottom