Zile pete za ndoa mara nyingi huwa ni utambulisho wa ahadi na zuio kwa mtu mwingine anayetaka kujaribu engagement. The house/room is occupied; try somewhere else.pete nyingi ni ushirikina
wachache wanavaa wakiamini ni urembo
Na vipi nikivaa kama utambulisho au ishara kwa ahadi yangu ya ndoa?Ukivaa kama urembo/pambo ni sawa, ukivaa kama ULINZI ni kosa kubwa, hiyo ni SHIRIKI, unakuwa katika waliokufuru.
Katika uislam hakuna pete ya ndoa ni jambo jipya, ila ikiwa ni mpenzi(mkeo) alikupa kama zawadi, hakuna tabu, kwenye dini kila jambo linaemda kwa nia.Na vipi nikivaa kama utambulisho au ishara kwa ahadi yangu ya ndoa?
Dah inabid utafute sana hela mzee uondokane na ufukara wa kuwaza kutapeliwa kila saa.Mtapigwa pesa mda sio mrefu .
Tafuta hela mzee uondokane na ufukara wa kuwaza kutapeliwa kila mda ..Utasikia zinauzwa njooni PM. Kuweni makini
All the best
Msome Arsis, jini mwenyewe naelezea kuhusu pete za kijini:Hata FaizaFoxy unaweza kuta anavaa hayo mapete ya bahati!