Pete za pure gold kwa bei nafuu

Pete za pure gold kwa bei nafuu

Kwaiyo utampima vipi au nikikutumia picha ya vidole vyake itakuwa poa??
Kupima ni mpaka tukionana au nilikua maelezo ya kuweza kulima, au kama una Pete inayokutosha vizuri naweza tumia hiyo kama kilimo.
 
Kashesho , workshop ipo Kigamboni , lakini goldsmithing workshop ipo mwisho Street town(posta).

Karibu sana....
Hiyo goldsmith workshop ni ya wahindi nimefanya kazi zangu nyingi hapo
 
Hongera kama ni ya wahindi na kama umefanya kazi zako nyingi hapo. Goldsmith mjini zipo nyingi sana.
 
79218f1ca529849ffcd8d87c47b8b4c3.jpg
 
Nahitaji Pete ya gold yenye kito cheusi bosi!

Kuna kitu nilisoma mtandaoni kwamba kuna Aina ya Pete au bangili za mkononi ambazo zina ambatana na energy ya mtu kama bahati au mafanikio mfano kuna yale mabangili ya Shaba ya wamangati au wamasai je kuna Ukweli wowote
 
Back
Top Bottom