Pete za vidole kwa wasanii wengi ni normal au?

Pete za vidole kwa wasanii wengi ni normal au?

Joined
Sep 4, 2022
Posts
87
Reaction score
148
Nimekuwa nikiwaangalia WASANII WENGI wa bongo flavour na WA mambele HASA kwenye MIKONO yao utakuta VIDOLE vitatu VYA mwisho vina Pete.

Pete HIZI huwa zinakuwa na size kubwa ya kutisha lakini kwa kawaida ukiangalia kwa macho tu ya kawaida utagundua sio Pete za ndoa maana za ndoa huwa na size Fulani ya kueleweka na sio mzigo kama nazoziona na WASANII.

Huwa najiuliza hawawezi KUFANYA kazi zao bila hizo Pete na Pete kama hizo zinachosha KUVAA kila muda lakini WASANII WENGI wanakomaa NAZO. Tatizo ni nini?
 
"Huniwezi kiserikali, kifedha na kiuchawi kama unabisha lete mkono tushindane."
Ali Kiba akataa salamu ya mkono ya Diamond.

angalia mkono wenyewe una pete ngapi!
 
Mika 5:12
[12]Nitaharibu hirizi za uchawi unazotumia na kukuacha bila wabashiri wowote.
 
Back
Top Bottom