Pete

mashambani kwao

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
370
Reaction score
56
Wadau hizi pete za uchumba na ile ya ndoa ina ulazima gani?Naomba tujadili bila jazba,nawasilisha.
 
Unajua historia ya pete?
 
Ndio mkuu zinaulazima tena mkubwa coz hizo pete zinatumika kama utambulisho,,mi kabla sijatongoza namwangalia mwanamke mkononi kama anapete nitajua 2 kama ameolewa nawasilisha mkuu
 
Ndio mkuu zinaulazima tena mkubwa coz hizo pete zinatumika kama utambulisho,,mi kabla sijatongoza namwangalia mwanamke mkononi kama anapete nitajua 2 kama ameolewa nawasilisha mkuu

pole sana kama unaangalia pete ili utongoze au la, siku hizi pete inavaliwa na kuvuliwa kutokana na mazingira mtu aliyopo. Mfano mke/mume wa mtu akiwa kwenye mawindo ni lazima ataivua pete. Pia kuna wanawake na wanaume ambao wao huwataka wenye ndoa tu. Ukitaka kuepukana na mke wa mtu fanya uchunguzi mwingine siyo pete
 
Mimi ndo maana sitaki kabisa na sitovaa pete maishani mwangu. Zimeshapoteza mwelekeo. Kwa taarifa yako masista duu siku hizi wanataka waume za watu maana wanajua wameshastabilize economically, na sio vijana wenzao ambao hawana mshiko. Usiangalie pete, angalia moyo wako
 
Ndio mkuu zinaulazima tena mkubwa coz hizo pete zinatumika kama utambulisho,,mi kabla sijatongoza namwangalia mwanamke mkononi kama anapete nitajua 2 kama ameolewa nawasilisha mkuu

iko siku utaingizwa choo cha kike,watu kibao hawazivai na wameoa au kuolewa
 
Pete haina kitu cha maana wala haisaidii kuzuia au kulinda mtu

Mapenzi ya kweli yapo Moyoni TUUUUUUUUUUHHHH!!!!!!

Ukiangalia pete hutapata uhalisia wa kitu unachokitafuta kwasababu siku hizi zinavaliwa vyovyote tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…