mashambani kwao
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 370
- 56
Wadau hizi pete za uchumba na ile ya ndoa ina ulazima gani?Naomba tujadili bila jazba,nawasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua historia ya pete?
Ndio mkuu zinaulazima tena mkubwa coz hizo pete zinatumika kama utambulisho,,mi kabla sijatongoza namwangalia mwanamke mkononi kama anapete nitajua 2 kama ameolewa nawasilisha mkuu
pole sana kama unaangalia pete ili utongoze au la, siku hizi pete inavaliwa na kuvuliwa kutokana na mazingira mtu aliyopo. Mfano mke/mume wa mtu akiwa kwenye mawindo ni lazima ataivua pete. Pia kuna wanawake na wanaume ambao wao huwataka wenye ndoa tu. Ukitaka kuepukana na mke wa mtu fanya uchunguzi mwingine siyo pete
Ndio mkuu zinaulazima tena mkubwa coz hizo pete zinatumika kama utambulisho,,mi kabla sijatongoza namwangalia mwanamke mkononi kama anapete nitajua 2 kama ameolewa nawasilisha mkuu