Peter Banda Ni Kalinyos Mweusi (Black Kalinyos)

Peter Banda Ni Kalinyos Mweusi (Black Kalinyos)

Pweza Boy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Posts
1,395
Reaction score
3,177
BIla kupepesa macho, kama alivosema mwenyekiti wao wa Zamani, Ismael Aden Rage kwamba mashabiki wa Simba ni Mbumbumbu, Mo ameona awasajilie mchezaji legelege, mchezaji amelegea kama urojo wa Nungwi, Zanzibar akiwaaminisha ni mrithi wa Miquissone, kumbe uwezo wake haufiki hata nusu ya CARLINHOS .
Banda ni Black Kalinyos. Tena hata Kalinyos ana unafuu, amefunga, ameassit Kazi ambayo hata Banda hawezi.

Magori pia kwa kuzingatia pia u-mbumbumbu wao pia akawaaminisha kuwa Khalid Aucho (Doctor of Football) eti hana hadhi ya kucheza simba ila Muhilu na Gadiel wanahadhi ya kucheza simba.

Mo pia hakuishia hapo, kwa kuzingatia u_mbumbumbu uleule akauza chama, mikison akapiga pesa kushoto, alipoona tar25 kimewaka kwa Mkapa akaona hapa hatuna timu ngoja nijiuzuru mapemaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO
 
Back
Top Bottom