Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Je tumuweke kwenye kundi la kumpa muda? Tumuweke kwenye kundi la waliofeli? Tumuweke kwenye kundi la overrated? Majibu yote mkumbuke ndio kwanza ana miaka 21, twende kazi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuanze na HawaaaaJe tumuweke kwenye kundi la kumpa muda? Tumuweke kwenye kundi la waliofeli? Tumuweke kwenye kundi la overrated? Majibu yote mkumbuke ndio kwanza ana miaka 21, twende kazi...
Yaani wewe bureee kabisaaa...unajitungiaje swali? Walimu wako uliwapa sana tabuTuanze na Hawaaaa
Mugalu
Bocco
Ukiona hivyo uzi haukuhusu!!Kwani kafanyaje??
NakaziaUwezo wake wa kawaida Sana-
bora angekuwa mchezaji wa ndani- kwa kuwa ni pro- anaziba nafasi tu- aachwe mara moja- usajiri wa mwaka jana mchezaji ni mmoja tu- Enock!
Pengine aje kocha atakayeweza kumtumiaBanda anajua sana Boli.
Kocha hajui kumtumia.
Bongo nyoso mkuu...jamaa hakupewa nafasi ya ku-prove akatimuliwaDancan Nyoni alistahili kubaki bhasi tu
Naunga mkono hojaUwezo wake wa kawaida Sana-
bora angekuwa mchezaji wa ndani- kwa kuwa ni pro- anaziba nafasi tu- aachwe mara moja- usajiri wa mwaka jana mchezaji ni mmoja tu- Enock!