Peter Banda tumuweke kundi gani?

Peter Banda tumuweke kundi gani?

Baanda ni talented player ni basi tu...
Kama vipi aje yanga tuwape kaseke
 
Pablo naye ni tatizo sana kwenye kuwatumia washambuliaji kimfumo

Unamzungumzia Banda as if hapo Simba kwenye safu ya ushambuliaji kuna waliofanya maajabu chini ya Pablo.......HAKUNA

Kila mshambuliaji kwenye mfumo wa Pablo kawa BUTU

Banda anakipaji sana akipata timu/kocha atakayeweza kumtumia atafanya vizuri sana

Nina wasi wasi sana mwaka huu tutaacha wachezaji wazuri sana waliozoeana na pablo atakuja na wachezaji wapya ambao bado mifumo yake kwa soka letu itafeli na atakapo kuja kufukuzwa atakua kashaiharibu Simba vibaya sana
 
Kabla pablo hajafika team ilikuwa kwenye hali gani?
Worse.....
 
Back
Top Bottom