OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Dancan Nyoni alistahili kubaki bhasi tu
ππKakutana na kocha kimeo
Yuko na Akpan na Okwa Ihefu wakimwacha striker hatari Kibu Denis akikiwashaChikwende yu wapi?
NakaziaUwezo wake wa kawaida Sana-
bora angekuwa mchezaji wa ndani- kwa kuwa ni pro- anaziba nafasi tu- aachwe mara moja- usajiri wa mwaka jana mchezaji ni mmoja tu- Enock!
π€£Banda anajua sana Boli.
Kocha hajui kumtumia.
Hapa kwa huyu dogo MO alipigwa pesa nyingi....
Tuwe wakweli sajili zote ni mbovu, hazina msaada kwetu kwa muda mrefu