Tena nguli kuliko tundu lisu
Inferiority complex!
Kumbe aliyeanzisha thread ni Bavicha? Naona amemtaja ZZK pale juuBavicha bana kila habari lazima wamtaje Zitto.
Mashudu yamekuuuuma!
Haya naacha kubishana
Hivi huko TLS nako kuna posho? Maana wote waganga njaa tu nyie.
Kimsingi ni hivi kushinda au kushindwa kesi ndiyo maisha halisi ya mwanasheria yeyote , kwasisi tunaojua sheria kwa kiwango tuu tunajua kuwa kilichofanyika siku ile mahakamani sio mwisho wa kesi, bali ni sehemu tuu ya kesi
Jana Chama chetu cha Wanasheria wa Tanganyika tulifanya uchaguzi wa viongozi wetu. Peter Kibatala alikuwa ni mmoja wa wagombea wa.nafasi ya Umakamu wa Rais - nafasi aliyokuwa akiitetea kwani aliishika kwa miaka mitatu mfululizo. Kibatala alijiponza mwenyewe kwani alianza kujinadi kwa kudai eti kuna wenzetu walimbembeleza agombee Urais na yeye akakataa kwa kujiona bado immature (wajumbe tukaguna). Hii ilionesha ana uroho wa madaraka km Zitto Kabwe (inashangaza anampinga mahakamani). Then aliendelea kubwabwaja maneno mengi ambayo yalimfanya ajipambanue kuwa nafasi aliyokuwa kaishika hakuwa na mafanikio sana kwa sababu ya kubanwa na majukumu ya kisiaasa ktk chama chake cha CDM. Kura zilipopigwa tukampa mwanadada Flavian na akamzidi Kibala kwa zaidi ya kura 800. Kibatala hakuamini macho yake na alitoweka moja kwa moja ukumbini. Hivi ninavyoandika nipo KIA narudi Dar na jina lake linaitwa hapa airport ili apande ndege lakini hapatikani kuonesha kuwa amepata aibu sana na hataki kurudi Dar na sisi kwani tunaweza tukawa tunamsodoa kimoyomoyo mpaka tutapotua Dar.
My take: ukiamua kuwa mwanasiasa kuwa mwanasiasa kweli, ukiamua kuwa mwanasheria basi tumikia sheria kwani hapa inasubiriwa tu Kibatala apate pigo jingine atakapogaragazwa na Msando ktk kesi ya msingi ya Zitto Kabwe
Na wewe ni mwanasheria? Good grief!
Get grown up and act according to your legal profession, pls..!!
Mkuu, I know what you want, lkn naomba unirekebishe hiyo English yangu, pls!!
First, what parts of speech are 'get' and 'grown up'?
Tuanzie hapo kwanza.
Mkuu, naomba urekebishe tu.
Pia, ufahamu kuwa lugha ya Kiingereza sio lugha yangu ya kuzaliwa na, vile vile, Kiingereza kinatumiwa kwa style tofauti....hivyo basi, mimi najua vena nilichoandika....na kama unatumia BBC English unaruhusiwa kunikosoa.
Kama umeamua kukitumia kwa kutumia kanuni (style) zako basi, siwezi kukubishia wala kukurekebisha.