Umbeya huu , wewe ni jinsi ke!
i dont believe Dr Slaa anaweza ku-like comment kama hii ambayo inashusha au inakandamiza jinsia moja
this is strange.... really strange and probably stupid from Dr. Slaa, unless amempa tena mkewe access ya akaunti yake ya JF
Tatizo ni viwango vya chini sana walivyonavyo Watanzania wengi. Leo hii eti Msando anaonekana kichwa, bonge la mwanasheria kisa tu hakimu au sijui jaji yule alitoa uamuzi ulioafikiana na ombi la mteja wa huyo bwana mdogo.
Sasa shauri lenyewe lilikuwa open-and-shut. Karibu mtu yeyote mwenye sense of fairness angeamua kama hivyo alivyoamua huyo hakimu.
Lakini kwa wabongo...aaah Msando ndo shujaa...ndo super lawyer. Ndo viwango vyetu hivyo.
Wadau msaada wenu tafadhari,eti huyu aliye andika hapa ni mwanasheria
Fanya uongee Kiswahili tu Chifu.......Mkuu, kwa wema kabisa, am happy seeing you challenge me with courtesy.
Blessings.
i dont believe Dr Slaa anaweza ku-like comment kama hii ambayo inashusha au inakandamiza jinsia moja
this is strange.... really strange and probably stupid from Dr. Slaa, unless amempa tena mkewe access ya akaunti yake ya JF
Bavicha bana kila habari lazima wamtaje Zitto.
Fanya uongee Kiswahili tu Chifu.......
Ni mwanasheria,ndio maana kashiriki kupiga kura.
Mkuu mimi naamini ya kwamba uanasheria ni miongoni mwa taaluma ambazo wataalam wake ni wazuri katika kuandika. Post ya huyu mkuu pamoja na kuwa yeye ni mwanasheria lkn halionyeshi ile flavour ya kisheria. Inakuwa kama imeandikwa na layman.
Mkuu mtoa mada unatakiwa uitendee haki taaluma ya sheria.

litakua moja wapo la janga, ambao wamekuta "bar
exam" ishahondolewa.
Ndio maana nimemshauri aongee Kiswahili maana kuendelea kuongea Kiingereza ambacho inaonekana dhahiri hakijui huku akiitwa 'msomi' anakuwa anaudhalilisha huo 'usomi'....Huo uthubutu unautoa wapi???!!!! Wewe ni "msomi"?????
Layman unamkosoa "learned brother"?????!!!!