Peter Kibatala alivyokataliwa TLS

Peter Kibatala alivyokataliwa TLS

i dont believe Dr Slaa anaweza ku-like comment kama hii ambayo inashusha au inakandamiza jinsia moja

this is strange.... really strange and probably stupid from Dr. Slaa, unless amempa tena mkewe access ya akaunti yake ya JF

Du! Kumbe hata Dr Slaa naweza kumgusa sometimes
 
kama aliyeleta habari hii ni mwanasheria basi hatushangai wanasheria kuwa michuuzi ya wanasiasa hana sifa kabisa context ya andishi lake ni la Lumumba Jazz band aka book 7 nafasi za kitaaluma watu wanabadirilisha sio zam kisiasa za koo kama akina zitto yeye na mama yake wako mjengoni kula posho ya laki tatu
 
Chama hiki hakina maana tena kimejaa umbea na kuvuana vyupi tu .mxxxxx
 
kama umbea wa kiasi hiki umehama toka saluni za wanawake uswahilini hadi kwenye laptop/ipad za wanasheria, basi Tanzania bado sana!
Kwani umbeya si ni part ya maisha yetu dada?
 
Tatizo ni viwango vya chini sana walivyonavyo Watanzania wengi. Leo hii eti Msando anaonekana kichwa, bonge la mwanasheria kisa tu hakimu au sijui jaji yule alitoa uamuzi ulioafikiana na ombi la mteja wa huyo bwana mdogo.

Sasa shauri lenyewe lilikuwa open-and-shut. Karibu mtu yeyote mwenye sense of fairness angeamua kama hivyo alivyoamua huyo hakimu.

Lakini kwa wabongo...aaah Msando ndo shujaa...ndo super lawyer. Ndo viwango vyetu hivyo.

Mitanzania ndio tulivyo
 
Uelezeaji wa habari yako tu umeshakupambanua wewe ni mtu wa aina gani na upo kishabiki zaid,jaribu kuweka chuki zako binafsi unapokuwa unaelezea habari kama hii isiyokuwa na muingiliana na ushabiki wapo,TLS na mambo ya Zitto wapi na wapi?
 
i dont believe Dr Slaa anaweza ku-like comment kama hii ambayo inashusha au inakandamiza jinsia moja

this is strange.... really strange and probably stupid from Dr. Slaa, unless amempa tena mkewe access ya akaunti yake ya JF

naona wazimu umekupanda hujielewi!!!
 
Ni mwanasheria,ndio maana kashiriki kupiga kura.

Mkuu mimi naamini ya kwamba uanasheria ni miongoni mwa taaluma ambazo wataalam wake ni wazuri katika kuandika. Post ya huyu mkuu pamoja na kuwa yeye ni mwanasheria lkn halionyeshi ile flavour ya kisheria. Inakuwa kama imeandikwa na layman.

Mkuu mtoa mada unatakiwa uitendee haki taaluma ya sheria.
 
Jirani yangu ana eka moja ya mihogo na rafiki yangu mmoja ana eka mia moja za mihogo, wote hawa ni wakulima kwa viwango vyetu vya hapa Bongo.
 
Mkuu mimi naamini ya kwamba uanasheria ni miongoni mwa taaluma ambazo wataalam wake ni wazuri katika kuandika. Post ya huyu mkuu pamoja na kuwa yeye ni mwanasheria lkn halionyeshi ile flavour ya kisheria. Inakuwa kama imeandikwa na layman.

Mkuu mtoa mada unatakiwa uitendee haki taaluma ya sheria.

Wataalamu wake "walitakiwa, wanategemewa" kuwa wazuri katika kuandika na "kuongea" kuliko "layman" ambaye anaweza kuwa mtaalamu wa lugha(??????!!!!!!)

Na ndio maana kuna shauku ya kujua "learnedness" inayoambatana na kutojua kuandika labda na kuongea mantiki yake ni nini haswa???!!!!!

Ziko nyuzi kama tatu hivi zinaashiria "demise of the so called learned" fellows kwa kasi ya ajabu pitia nyuzi ya LL.B maana na kirefu, nyingine inazungumzia usomi wa wakili/mwanasheria halafu mjadala utaendelea!!!!!!
 
litakua moja wapo la janga, ambao wamekuta "bar
exam" ishahondolewa.

Tanzania ilikuwa inaheshimika kwa kutoa wanasheria mahiri pale UDSM lkn baada ya ujio wa vyuo vyetu hivi vya kata basi sheria imeingiliwa!!
 
Huo uthubutu unautoa wapi???!!!! Wewe ni "msomi"?????
Layman unamkosoa "learned brother"?????!!!!
Ndio maana nimemshauri aongee Kiswahili maana kuendelea kuongea Kiingereza ambacho inaonekana dhahiri hakijui huku akiitwa 'msomi' anakuwa anaudhalilisha huo 'usomi'....
 
mbona huyu mleta mada kaandika kimbeambea sana,kimajungu majungu hivi,hajulikana anamchukia kibatala au anachukia nafsi yake katika jamii....aiseee hiyo sheria yako ulisomewa au ulisoma mwenyewe?mbona hujui kuunda hoja ukaeleweka unarukaruka mambo..
 
Back
Top Bottom