Peter Kibatala alivyokataliwa TLS

Peter Kibatala alivyokataliwa TLS

Wakili, unajua haipendezi kubishana unreasonably, tena kwny majukwaa ya mitandao ya kijamii,,.!!

Similarly, wewe kwa uwezo wako wote umeona neno moja tu, as you allege, ndilo unadhani ni msingi wa michango yangu ktk mada yako and, if that is the case, you cant be serious?

Get grown up and act according to your legal profession, pls..!!

You can not convince me to act according to my legal profession in JF. Understand that JF is not a court of law or a tribunal.
 
Jana Chama chetu cha Wanasheria wa Tanganyika tulifanya uchaguzi wa viongozi wetu. Peter Kibatala alikuwa ni mmoja wa wagombea wa.nafasi ya Umakamu wa Rais - nafasi aliyokuwa akiitetea kwani aliishika kwa miaka mitatu mfululizo. Kibatala alijiponza mwenyewe kwani alianza kujinadi kwa kudai eti kuna wenzetu walimbembeleza agombee Urais na yeye akakataa kwa kujiona bado immature (wajumbe tukaguna). Hii ilionesha ana uroho wa madaraka km Zitto Kabwe (inashangaza anampinga mahakamani). Then aliendelea kubwabwaja maneno mengi ambayo yalimfanya ajipambanue kuwa nafasi aliyokuwa kaishika hakuwa na mafanikio sana kwa sababu ya kubanwa na majukumu ya kisiaasa ktk chama chake cha CDM. Kura zilipopigwa tukampa mwanadada Flavian na akamzidi Kibala kwa zaidi ya kura 800. Kibatala hakuamini macho yake na alitoweka moja kwa moja ukumbini. Hivi ninavyoandika nipo KIA narudi Dar na jina lake linaitwa hapa airport ili apande ndege lakini hapatikani kuonesha kuwa amepata aibu sana na hataki kurudi Dar na sisi kwani tunaweza tukawa tunamsodoa kimoyomoyo mpaka tutapotua Dar.
My take: ukiamua kuwa mwanasiasa kuwa mwanasiasa kweli, ukiamua kuwa mwanasheria basi tumikia sheria kwani hapa inasubiriwa tu Kibatala apate pigo jingine atakapogaragazwa na Msando ktk kesi ya msingi ya Zitto Kabwe

Acha unafiki Mkuu.
Wote tulikuwpo AICC na kushuhudia jinsi yule Mama alivyobebwa.
Btw this has nothing to do na jukwaa la Siasa.
Cc Invisible
 
Last edited by a moderator:

kuku wee
 
Sasa CCM imeingiaje hapo? Kibatala hawezi kuhudumia mabwana wawili asilani!

We learned brothers n sisters tulijua mapema sana kuwa hawezi rudi tena kwa nafasi yake!

Ndio sihasa na sio siasa
 
Acha unafiki Mkuu.
Wote tulikuwpo AICC na kushuhudia jinsi yule Mama alivyobebwa.
Btw this has nothing to do na jukwaa la Siasa.
Cc Invisible
Alibebwa na nani kwa tofauti ya kura zaidi ya 700?
 
Last edited by a moderator:
Jana Chama chetu cha Wanasheria wa Tanganyika tulifanya uchaguzi wa viongozi wetu. Peter Kibatala alikuwa ni mmoja wa wagombea wa.nafasi ya Umakamu wa Rais - nafasi aliyokuwa akiitetea kwani aliishika kwa miaka mitatu mfululizo. Kibatala alijiponza mwenyewe kwani alianza kujinadi kwa kudai eti kuna wenzetu walimbembeleza agombee Urais na yeye akakataa kwa kujiona bado immature (wajumbe tukaguna). Hii ilionesha ana uroho wa madaraka km Zitto Kabwe (inashangaza anampinga mahakamani). Then aliendelea kubwabwaja maneno mengi ambayo yalimfanya ajipambanue kuwa nafasi aliyokuwa kaishika hakuwa na mafanikio sana kwa sababu ya kubanwa na majukumu ya kisiaasa ktk chama chake cha CDM. Kura zilipopigwa tukampa mwanadada Flavian na akamzidi Kibala kwa zaidi ya kura 800. Kibatala hakuamini macho yake na alitoweka moja kwa moja ukumbini. Hivi ninavyoandika nipo KIA narudi Dar na jina lake linaitwa hapa airport ili apande ndege lakini hapatikani kuonesha kuwa amepata aibu sana na hataki kurudi Dar na sisi kwani tunaweza tukawa tunamsodoa kimoyomoyo mpaka tutapotua Dar.
My take: ukiamua kuwa mwanasiasa kuwa mwanasiasa kweli, ukiamua kuwa mwanasheria basi tumikia sheria kwani hapa inasubiriwa tu Kibatala apate pigo jingine atakapogaragazwa na Msando ktk kesi ya msingi ya Zitto Kabwe

Siamini kama wewe unaweza kuwa mwanasheria kwani hata uandikaji wako unaonyesha wewe ni professional ile ya kuumba Taarabu.
 
Kumbe kuna wanasheria wambeya?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Siamini kama wewe unaweza kuwa mwanasheria kwani hata uandikaji wako unaonyesha wewe ni professional ile ya kuumba Taarabu.

Kwa sababu unataka niandike lugha yabkisheria JF basi amini mi sio mwamasheria lkn kwa kuwa najijua mimi wewe haikusaidii kitu labda ungekuwa client wangu hapo sawa
 
toa uharo wako hapa,ktk uchaguzi kuna kushinda na kushindwa! na kuhusu kesi ya zito,huyo msaliti akishinda ndo anapata nini cdm?????? sisi tulishamfukuza na huko mahakamani anatetea ubunge wake tu na sisi hatuna tatizo na ubunge wake wa mahakama!!!!
CDM tulishamfukuza siku nyingi!
 
Siamini kama wewe unaweza kuwa mwanasheria kwani hata uandikaji wako unaonyesha wewe ni professional ile ya kuumba Taarabu.

Huyu @Avant ni Bogus kabisa.
No wonder hata tukimuuliza Mwenyekiti wa kongamano alikuwa nani hajui...
 
Kwa sababu unataka niandike lugha yabkisheria JF basi amini mi sio mwamasheria lkn kwa kuwa najijua mimi wewe haikusaidii kitu labda ungekuwa client wangu hapo sawa

nakuona kama mtu mpuuz usiyejitambua!
 
Kwa sababu unataka niandike lugha yabkisheria JF basi amini mi sio mwamasheria lkn kwa kuwa najijua mimi wewe haikusaidii kitu labda ungekuwa client wangu hapo sawa

Client wako Bogaz kama wewe hata hao clients unawapata naamini hunauwezo wa kuwasadiana si lazima uandike kiwanasheria lakini mwanasheria najua ni mtu anaweza kufafanua hoja na kubusara katika maneneno na maandishi yake kunauwezekano mkubwa sana uanasheria wako umeupta kwanjia ya PICHU.
 
Wewe nawe! Unataka kufananisha majina na lugha tunazotumia mahakamani na JF. Halafu unaongelea demokrasia, hujui kuwa nami nimetumia demokrasia kuwasilisha thread yangu hivi.

Mwerevu akivuliwa nguo huchutama. Uzi wako umekosolewa na kukuvua nguo hasa kwa kuingiza itikadi za siasa kwenye masuala yenu ya chama cha kisheria. Ungekuwa muungwana usingejibiahana tena. Unaendelea kujionesha jinsi ulivyo mweupe.
 
Back
Top Bottom