Peter Kibatala alivyokataliwa TLS

Peter Kibatala alivyokataliwa TLS

Ungekuwa mwanahabari ningekuelewa, lkn wewe mwanasheria nyie hamna mtandao wa taaluma yenu?
 
Jana Chama chetu cha Wanasheria wa Tanganyika tulifanya uchaguzi wa viongozi wetu. Peter Kibatala alikuwa ni mmoja wa wagombea wa.nafasi ya Umakamu wa Rais - nafasi aliyokuwa akiitetea kwani aliishika kwa miaka mitatu mfululizo. Kibatala alijiponza mwenyewe kwani alianza kujinadi kwa kudai eti kuna wenzetu walimbembeleza agombee Urais na yeye akakataa kwa kujiona bado immature (wajumbe tukaguna). Hii ilionesha ana uroho wa madaraka km Zitto Kabwe (inashangaza anampinga mahakamani). Then aliendelea kubwabwaja maneno mengi ambayo yalimfanya ajipambanue kuwa nafasi aliyokuwa kaishika hakuwa na mafanikio sana kwa sababu ya kubanwa na majukumu ya kisiaasa ktk chama chake cha CDM. Kura zilipopigwa tukampa mwanadada Flavian na akamzidi Kibala kwa zaidi ya kura 800. Kibatala hakuamini macho yake na alitoweka moja kwa moja ukumbini. Hivi ninavyoandika nipo KIA narudi Dar na jina lake linaitwa hapa airport ili apande ndege lakini hapatikani kuonesha kuwa amepata aibu sana na hataki kurudi Dar na sisi kwani tunaweza tukawa tunamsodoa kimoyomoyo mpaka tutapotua Dar.
My take: ukiamua kuwa mwanasiasa kuwa mwanasiasa kweli, ukiamua kuwa mwanasheria basi tumikia sheria kwani hapa inasubiriwa tu Kibatala apate pigo jingine atakapogaragazwa na Msando ktk kesi ya msingi ya Zitto Kabwe

Wewe ni mzigo sana . Uchaguzi wa TLS una siasa gani hapo ?Hakika wewe ni mzigo kuliko mzigo CCM . Mchumia tumbo tu wewe .
 
Alafu si ndio wanao jiita Learned lawyer/advocate

Hawa kama huwajui utapata nao taabu sana!!!!!
Ni watu kama wengine tu na IQ hizi hizi zetu tu nothing special kabisaaa,sana sana atakuambia form six nimepata "one"!!!!!

Leo dunia ya super specialization ukisema wewe "learned" sijui maana yake inakuwa nini???!!!
 
Digrii za pichu at work!Si kosa lako bali aliy
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Jitambue wewe, kila kitu unalinganisha na kuvuliwa pichu tu. Ushavuliwa sana nini?
 
Hawa kama huwajui utapata nao taabu sana!!!!!
Ni watu kama wengine tu na IQ hizi hizi zetu tu nothing special kabisaaa,sana sana atakuambia form six nimepata "one"!!!!!

Leo dunia ya super specialization ukisema wewe "learned" sijui maana yake inakuwa nini???!!!

Inferiority complex!
 
Ungekuwa mwanahabari ningekuelewa, lkn wewe mwanasheria nyie hamna mtandao wa taaluma yenu?

Kwa nini akaweke huko wakati ni habari ya wazi hawa ndio ma advocate wetu sasa wanapochagua viongozi wao tunastahili kupata taarifa hapa kwa uwazi kabisa!!!!!!

Writting style waachie wenyewe watoane macho "wasomi" we kula news na kama unajifunza kitu kwa malumbano yao basi kula somo!!!!
 
Inferiority complex!

Mmmmmmh kwa lipi sasa hiyo socially constructed status ya "learned" au nini???!!!!!
Hebu wasikilize wenzako mkuu haya ya sie "educated fellows" achana nayo kabisa!!!!!
Yaani mtu kama wewe uwe na gut ya kusema huyu ni inferior????!!!!!Please hebu rudia utu wako na ufikirie tena! !!!!!!!!

Kama kweli wewe ni superior taja law firm yako hapa mjini tui analyse fasta in terms of history,achievement,economic muscle na hata influence tu na hivi umenyea kambi I dare you huwezi kuitaja!!!!!!!
 
Kwani unafikiri kila lawyer ni lazima awe na law firm. Basi inaitwa KIPYOTOLO
 
Eti kwani lazima as if ni jambo jepesi kama kuota nywele za kwapa!!!!!! Are sure you dont dream of one?????
Sasa unajivika superiority ya nini??????!!!!!
Kumiliki law firm hata joint venture tu inaashiria hiyo acceleration towards superiority sababu unahitaji kushinda kesi na ku defend interest ya mteja it be individual or corporate ili kubaki sokoni sasa kama haupo kwenye hiyo league unaongea nini hapa?????!!!!!!!
Unahitaji a nice office,ulipe kodi uwe na legal secretary sijui mnawaita naye umlipe ndio atleast uweze kumdhania mtu aweza kuwa inferior ingawa bado huyo inferior ndio atakuvalisha suti na jua kali upande na kushuka ngazi kwa pesa ya mfukoni kwake!!!!!

Watch your mouth youngman
 
Kwa thread yangu JF niite tu mie kilaza mara milioni moja ipo poa tu. Mahakamani utabow down tu!

Msomi, kwanini usiache mabishano?

Au kama vipi toka na verified identity yako hapa ili watu/wanajf wakujue....umwamba wako na pindi watakapotokea huko kortini wajue wanaenda kukutana na mwamba wa sheria nchini Tanzania, na bowing utapata bila chenga.
 
Sasa hii ndio tofauti ya "msomi" na anayeambatana na "wasomi" na hivyo basi kudhaniwa naye ni miongoni mwao!!!!!
 
Msomi, kwanini usiache mabishano?

Au kama vipi toka na verified identity yako hapa ili watu/wanajf wakujue....umwamba wako na pindi watakapotokea huko kortini wajue wanaenda kukutana na mwamba wa sheria nchini Tanzania, na bowing utapata bila chenga.
Haya naacha kubishana
 
Jana Chama chetu cha Wanasheria wa Tanganyika tulifanya uchaguzi wa viongozi wetu. Peter Kibatala alikuwa ni mmoja wa wagombea wa.nafasi ya Umakamu wa Rais - nafasi aliyokuwa akiitetea kwani aliishika kwa miaka mitatu mfululizo. Kibatala alijiponza mwenyewe kwani alianza kujinadi kwa kudai eti kuna wenzetu walimbembeleza agombee Urais na yeye akakataa kwa kujiona bado immature (wajumbe tukaguna). Hii ilionesha ana uroho wa madaraka km Zitto Kabwe (inashangaza anampinga mahakamani). Then aliendelea kubwabwaja maneno mengi ambayo yalimfanya ajipambanue kuwa nafasi aliyokuwa kaishika hakuwa na mafanikio sana kwa sababu ya kubanwa na majukumu ya kisiaasa ktk chama chake cha CDM. Kura zilipopigwa tukampa mwanadada Flavian na akamzidi Kibala kwa zaidi ya kura 800. Kibatala hakuamini macho yake na alitoweka moja kwa moja ukumbini. Hivi ninavyoandika nipo KIA narudi Dar na jina lake linaitwa hapa airport ili apande ndege lakini hapatikani kuonesha kuwa amepata aibu sana na hataki kurudi Dar na sisi kwani tunaweza tukawa tunamsodoa kimoyomoyo mpaka tutapotua Dar.
My take: ukiamua kuwa mwanasiasa kuwa mwanasiasa kweli, ukiamua kuwa mwanasheria basi tumikia sheria kwani hapa inasubiriwa tu Kibatala apate pigo jingine atakapogaragazwa na Msando ktk kesi ya msingi ya Zitto Kabwe

tatizo nawe ni mwanaccm tena nahc hiyo sheria umesomeshwa na ccm ndo maana umeleta umbea wako hapa ili wasikudai deni lao
 
Back
Top Bottom