Peter Kibatala ni Wakili au Mwanaharakati?

Wewe ndiyo umekurupuka; halafu inaonekana upo learned, sasa mbona hapo ni rahisi sana?
Kibatala siyo Diplomat, ni citizen, anamuwakilisha Tundu Lissu, na katumwa afanye hivyo na anafanya baada ya kuona hilo suala limo mikononi mwake na uwezo wake. Kibatala Esq is a learned man, lazima kajiridhisha.
Ni kweli Diplomat hawezi kukurupuka kuenda kutafuta citizen au office yoyote bila kibali cha host country.

Maswala yote ya sheria Diplomat hawezi kuingilia, lakini kwa kibali, Lawyer hana hiyo mipaka.
 
Menopause inakusumbua wewe.
 
Huna hoja za kufundisha kibatala wewe ungekuwa na hoja ungetuambia jinsi Lisu alivyotumia mabalozi wale kwenda ubelgiji baada ya kusikia anataka kuuwawa na shetani mwendazake.
 
Kibatala ni experienced lawyer, uanarakati si professional (anaweza kua mtu yoyote yule), and yes anajua anachokifanya. Si mara ya kwanza
 
Kama huna hizi sifa huwezi kumkosoa na ninaishia hapa kusoma bandiko lako maana ni maamuma
Aliyeandika hapo kamaliza ,kwenye hiyo kesi hautaona kiongozi wa dini Wala balozi,Kisha utajua aliyeandika sio wakili au mwana diplomasia .
 
Huna sifa ya kumkosoa wakili msomi pita kule bana hatusomi bandiko lako.
 
wasipokuelewa hawataelewa tena , inashangaza sana kwa tabia zile
wanajiondoa ufahamu hawa. Wamekuja kwenye Uzi wangu na majibu yao ni haya haya.

Kebehi, Dhalilisha, Tukana

halafu wanatumia ile mbinu ya kupeana likes kuweka taswira watu wengi wanakubalina, kumbe ni watu wawili au watatu.

Wengi wao ni maroboti.
 
Unafiki mtupu

Umesahau kuandika namba yako ya simu
 
wanajiondoa ufahamu hawa. Wamekuja kwenye Uzi wangu na majibu yao ni haya haya.

Kebehi, Dhalilisha, Tukana

halafu wanatumia ile mbinu ya kupeana likes kuweka taswira watu wengi wanakubalina, kumbe ni watu wawili au watatu.

Wengi wao ni maroboti.
Eeeh wewe ndiyo Irene kumbe!? Umeshindwa kuvumilia umeamua kuja na ID yako nyingine kuja kujitetea
 
Irene17 naona news zako umetumwa jamiiforums kusambaZa propaganda za CCM humu nafatilia threads zako kwa ukaribu unapoteza muda ungekuwa na akili usingeanzisha thread za kutetea wajinga ilihali bibi zako kijijini hawajui watakula nini leo
 
na mimi nauliza swali hivi polisi wa tanzania ni polisi au wanaharakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ