Peter Kibatala ni Wakili au Mwanaharakati?

Mtu mwenye akili timamu unakijiita chawa, kweli Africa nyeusi haitakaa ing'oe nanga.
 
Vyote viwili! yuko huku kule!!! Hakuna A au B kwa Wakili msomi Peter Kibatala, Ni mtu mwema na Mungu ambariki sana!
 
Bro sahihisha ni modality sio modarity
 
Kwani ni kosa kisheria kua wakili huku ukiwa mwanaharakati?
 
Amepanic balaaa🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ukweli mtupu....

Jamaa hajui...na hataki kujua....


#446
#30,000
#S0vereignity JMT!
 
Awesome.....
 
Kama huna hizi sifa huwezi kumkosoa na ninaishia hapa kusoma bandiko lako maana ni maamuma
Yaani mtu sio tabibu wala bwana/bibi afya lakini anajipa mamlaka ya kumkosoa tabibu na bwana/bibi afya kwenye pro. waliyoisomea!!!
Hakika kuna mazwazwa na vilaza wa kiwango kilichopindukia.
Mleta uzi ni mmojawapo.
 
Toka lini chawa akawa na akili? Uchawa tu unakusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…