Peter Kibatala ni Wakili au Mwanaharakati?

Mpeleke mahakamani mkuu ili tupate majibu ya swali lako baada ya mchuano kati yenu.
 
Tunashukuru umekiri wewe siyo Mwanasheria wala Mwanadiplomasia.
 
Kumbe sio mwanasheria wala mwana diplomasia..?

Kwa hiyo na wewe unataka kutulisha matangopori sio..?
Kwani mwaka 2020 mara baada ya uchaguzi mkuu na Mwendazake Magufuli kujitangaza mshindi wa u - Rais na baada ya hapo kuanza kumtafuta Tundu Lissu ili amuue au kummbakika kesi kama hii mliyombambika (ya uhaini) na Lissu kuwasiliana na ubalozi wa Ujerumani ili wampatie hifadhi. Hapa unaweza kutuambia Lissu alifuata protocol hii unayotudanganya hapa? Au Tundu Lissu si raia ndiyo maana ubalozi wa ujerumani ukamhifadhi..?
Wao kwenda mahakamani au kutuma wawakilishi kufuatilia kesi fulani wanakuwa wamevunja national or international diplomatic law gani? Kifungu kipi..?

Yaani wewe kilaza ndio wa kumpeleka shule Wakili msomi Peter Kibatala kweli kwa ujinga huu unao display hapa..??
Lakini nanukuu hapa"all Official business with the host State should be conducted through the Ministry of Foreign Affairs!Wakili Peter Kibatala aende akasome Viena Convention on Diplomatic Relations 1961,on Persona Non Grata!
What is "official business" kwa tafsiri yako? Kwenda mahakamani kusikiliza kesi ni official business inayohitaji kibali cha FA ya Tanzania? Really?
 
Unaitaja hyo D' immunity kana kwamba haina utaratibu wowote ule.....

Kesi ni ya jinai dhidi ya d0la... kas0me mawanda ya usemacho katika "scenario" hz0...

Huwezi kumzuia balozi kuingia mahakamani kusikiliza kesi.
Huwezi kuzuia raia kumwandikia barua balozi kwenye ishu yeyote ile .
Tatizo nyie watu mnaotumiwa na ccm kuandika mitandaoni ni vilaza .
Nishasoma hayo mambo nimefundishwa hadi level ya masters na akina prof daudi mkangara, prof nyirabu,dr bruce williams wote wa udsm.na wengine wengi
Ndio maana naona unaongea vitu ambavyo huvifahamu
 
ngoja tusubiri maamuzi ya mahakama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ