Tumezoea kuona watu wakitoa sifa nyingi mtu anapokufa, lakini ninaomba sifa nizitoe mtu akiwa hai.
Mara nyingi nimeona wakili Kibatala akipanda mahakamani kwenye kesi za viongozi wa chadema, analipwa au halipwi hio sijui na hainihusu...
Hawezi kuwatetea vitu vinavonunuliwa na ccm kwa ufisadiKibatala hutamuona akitetea ndege zikikamtwa na wazungu, yeye yuko bize kutetea magaidi ya chadema tu.
Kwa hiyo ccm na chadema hakuna tofauti?Lakini hajakutia ile trillion 1.5 iliyo liwa na magufuli.
Ndiyo... Kwahiyo sisi kijani na chadema hatuna tofautiKwani pale geti la kijani si wewe au
Kwanini mr usibuni mradi ambao na wewe utanufaika na hiyo Saccos kuliko kuishia kuongea jambo ambalo huenda ukawa huna evidence yeyote inayo prove hilo.Una ushahidi gani kuwa atamsaidia bure? Asikudanganye mtu Kibatala ni miongoni mwa wanufaika wakubwa wa SACCOS ya Mbowe. Kila kesi analipwa kiasi kikubwa sana. Kumfuata huyo unayemsema ni yeye kukimbilia mteja ili apate kazi.
Ni sawa tu na wamachinga wanavyokimbilia wateja barabarani. Na yeye amekimbilia mteja. Jiongeze mzee, watu wanapiga pesa kupitia matatizo yako.
Zinakamatwa kwasababu ya ujinga wenu.Kibatala hutamuona akitetea ndege zikikamatwa na wazungu, yeye yuko bize kutetea magaidi ya chadema tu.
Hoja ya kipumbavu hii!Kibatala hutamuona akitetea ndege zikikamatwa na wazungu, yeye yuko bize kutetea magaidi ya chadema tu.
Google utaipataTungepata akaunti yake mlugulu huyu ili tumpe pesa kidogo tumchangie
PoleGoogle utaipata
GoodSadaka ni moyo!
Kibatala amekuwa mstari wa mbele kusimamia HAKI kwa wale wanaosimama badala ya wengine pamoja na vikwazo vingi anavyopitia katika majukumu yake...