Peter Kibatala Wakili wa CHADEMA, Mungu akubariki sana

Peter Kibatala Wakili wa CHADEMA, Mungu akubariki sana

Sadaka ni moyo!
Kibatala amekuwa mstari wa mbele kusimamia HAKI kwa wale wanaosimama badala ya wengine pamoja na vikwazo vingi anavyopitia katika majukumu yake...
ni mojawapo ya watu wanaosapoti sana fujo za cdm, nafikiri ni muhimu serikali imwangalie kwa jicho la karibu.
 
Huyu Kibatala nahisi ule ujasiri wa Lissu umeshamvaa,Lissu anaweza kuwa hayupo ila Legacy yake inaendelea

Sio zile legacy za kujenga Makalavati
Lisu si ndio kigogo huko twitter anamtukana kuwa ni choko? au sio huyo.
 
Uyo mtu aliyefatwa na kutamkiwa ivyo nae ameonewa? Uyo mwarifu kama angekuwa anaitaka haki angeenenda katika haki. Sio haki ije baada ya kufanya uovu.

Huu ujinga wa kutetea waharifu sijui tumeutoa wapi?
 
amini usiamini, polisi wakati huu wamekuwa wakarimu sana, hata yule jamaa amewekwa kwenye gari anayeongea na kibatala, hatahitaji hata dhamana, atafika kule polisi, ataonywa tu na kuruhusiwa kurudi nyumbani. wanafanya ukaribu na upendo wakifikiri labda cdm watastuka na kufanya mambo yao bila dharau kwa serikali wala violence. ukiwa na mtoto ambaye kila anachotaka anataka kulazimisha kuna wakati ukimchoka unaweza kumchapa, na akichapwa hatakiwi kulalamika, aliyataka mwenyewe.
 
ni mojawapo ya watu wanaosapoti sana fujo za cdm, nafikiri ni muhimu serikali imwangalie kwa jicho la karibu.
Bila shaka wewe utakua yule Askari aliyepigwa picha "gwanda" imetoboka" Kama gwanda za waasi huko DRC.
 
Bila shaka wewe utakua yule Askari aliyepigwa picha "gwanda" imetoboka" Kama gwanda za waasi huko DRC.
hapana, mimi sio askari, ningekuwa askari hao chadema leo wasingekuwa wanatembea bila msaada, ningetengua magoti yao wote kwa mabuti yangu. nashukuru Mungu mimi sio askari.

Nasema hivi kwasababu kesi ipo mahakamani lakini wao wanakuja na mabango kuishinikiza mahakama ione mtu wao hana hatia, hawaoni kama huko ni kuingilia uhuru wa mahakama? ni dharau kwa mahakama na ndio tabia yao na chama chao.
 
hapana, mimi sio askari, ningekuwa askari hao chadema leo wasingekuwa wanatembea bila msaada, ningetengua magoti yao wote kwa mabuti yangu. nashukuru Mungu mimi sio askari. nasema hivi kwasababu kesi ipo mahakamani lakini wao wanakuja na mabango kuishinikiza mahakama ione mtu wao hana hatia, hawaoni kama huko ni kuingilia uhuru wa mahakama? ni dharau kwa mahakama na ndio tabia yao na chama chao.
Ikiwa Bwana Saimon anajukumu zito la kusimamia sheria zinafuatwa juzi, hadharani na majivuno KAINGILIA UHURU WA MAHAKAMA sembuse Maamuma!

Kama ungekua Askari ilitakiwa uanze kuvunja miguu ya Saimon Kwanza.
 
Mathayo 5 kwa ujumla wake ina

“...Heri yenu nyinyi watu wakiwatukana, wakiwadhulumu na kuwasingizia kila aina ya uovu kwa ajili yangu. Furahini na kushangilia maana tuzo lenu ni kubwa mbinguni. ..."

Yamhusu sana mtumishi wa Mungu kama bwana Peter Kibatala.
Amina.
 
Ikiwa Bwana Saimon anajukumu zito la kusimamia sheria zinafuatwa juzi, hadharani na majivuno KAINGILIA UHURU WA MAHAKAMA sembuse Maamuma!

Kama ungekua Askari ilitakiwa uanze kuvunja miguu ya Saimon Kwanza.
kwani mwanasheria wenu kibatala hajaingilia suala la mahakama kwenye ile interview? na ni mwanasheria kabisa. au, kwa vile simon amefanya hivyo na wewe kwa kiburi unafanya, si ujeuri huo? mkipigwa mnaanza kulia. na mnaamini mnaipigania nchi? hahahaha.
 
Uyo mtu aliyefatwa na kutamkiwa ivyo nae ameonewa? Uyo mwarifu kama angekuwa anaitaka haki angeenenda katika haki. Sio haki ije baada ya kufanya uovu.

Huu ujinga wa kutetea waharifu sijui tumeutoa wapi?
Kwani HAKI ni nini braza?
 
Back
Top Bottom