Hata Leo upo humu JF hujui ni kiasi gani watu wamepigania hii haki.. so wewe relax, tulia, kaa kimya! Siku katiba mpya ikipatikana njoo tule wote.kwani mwanasheria wenu kibatala hajaingilia suala la mahakama kwenye ile interview? na ni mwanasheria kabisa. au, kwa vile simon amefanya hivyo na wewe kwa kiburi unafanya, si ujeuri huo? mkipigwa mnaanza kulia. na mnaamini mnaipigania nchi? hahahaha.
Tofauti ni kwamba ccm inabambikizia watu kesi na kuuwa watu wakati chadema kwa kutumia mawakili wake kama kibatala ina tetea watu wanao teswa na serikali ya ccm.Kwa hiyo ccm na chadema hakuna tofauti?
Kwa sababu gani ndege zinadakwa na Wazungu? Tuanzie hapoKibatala hutamuona akitetea ndege zikikamatwa na wazungu, yeye yuko bize kutetea magaidi ya chadema tu.
Ni sheria gani inasema kubeba bango ni kosa?Uyo mtu aliyefatwa na kutamkiwa ivyo nae ameonewa? Uyo mwarifu kama angekuwa anaitaka haki angeenenda katika haki. Sio haki ije baada ya kufanya uovu.
Huu ujinga wa kutetea waharifu sijui tumeutoa wapi?
Ni kwa sababu gani mbowe anadakwa na polisi?Kwa sababu gani ndege zinadakwa na Wazungu? Tuanzie hapo
Hizo ndege kwa nini zikamatwe na kama zinakamatwa kwa sababu ya dhuluma ya serikali hizi dhalimu sasa hiyo inamuhusu nini.Kibatala hutamuona akitetea ndege zikikamatwa na wazungu, yeye yuko bize kutetea magaidi ya chadema tu.
Ndege huwa zinakamatwa kwa uzembe na ufisadi mikataba wa serekali, lakini magaidi wanaodai katiba wanayo haki ya kutetewaKibatala hutamuona akitetea ndege zikikamatwa na wazungu, yeye yuko bize kutetea magaidi ya chadema tu.
Bila watu kama hawa wakujitoa muhanga hatutafaniakiwaHuo ni ujinga yaani nikalale ndani sijui siku ngapi kisa kibatala atakuja kumtoa polisi au mahakamani >? kweli? huko ni kukosa maarifa na kutumia akili vibaya
Ana kosa gani alale ndani?Huo ni ujinga yaani nikalale ndani sijui siku ngapi kisa kibatala atakuja kumtoa polisi au mahakamani >? kweli? huko ni kukosa maarifa na kutumia akili vibaya
Huna akili wewe.ni mojawapo ya watu wanaosapoti sana fujo za cdm, nafikiri ni muhimu serikali imwangalie kwa jicho la karibu.
Pole pole na mdomo wako korona ipo na inauaKibatala hutamuona akitetea ndege zikikamatwa na wazungu, yeye yuko bize kutetea magaidi ya chadema tu.
UHURU, HAKI hupiganiwa na kuletwa na watu wengi, baadhi yao hata majina yao hayajulikani.Kwa kitendo hiki Cha Kibatala ninaomba mnaokuwa nae karibu mtieni moyo sana kwa anayofanya, ni Mtu wa muhimu Sana.
Mtieni moyo Kibatala, mtieni moyo jamani