Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Watu wameanza kuonyesha jeuri ya pesa au tusemeje?
=====================
Leo, Juni 28, kijana mwenye maono na elimu ya uchumi, Peter Kimaro, amewasili kwa mbwembwe katika ofisi za CCM kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Hai kwa mwaka 2025.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akiwasili ndani ya Toyota Land Cruiser 300 Series yenye thamani ya zaidi ya milioni 400, Kimaro ameonesha si tu utayari wa kisiasa, bali pia uwezo na hadhi ya kiuongozi.