Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kama ana uwezo kwanini asifikirie kujiajiri na Ku-run business zake .?Watu wameanza kuonyesha jeuri ya pesa au tusemeje?
=====================
Leo, Juni 28, kijana mwenye maono na elimu ya uchumi, Peter Kimaro, amewasili kwa mbwembwe katika ofisi za CCM kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Hai kwa mwaka 2025.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akiwasili ndani ya Toyota Land Cruiser 300 Series yenye thamani ya zaidi ya milioni 400, Kimaro ameonesha si tu utayari wa kisiasa, bali pia uwezo na hadhi ya kiuongozi.
Kuna yule kule nzega Vijijini kaenda na baiskeli, nadhani huyo mnaendana fikra.Kwamba kiongozi lazma atembelee gari la 400M..?
Wewe ni mjinga
Nchi imejaa maigizo hii!Kuna yule kule nzega Vijijini kaenda na baiskeli, nadhani huyo mnaendana fikra.
Mkuu shida sio hali ya kimaisha shida ni maono na nafsi ya mtu kama anatamaa ya kuiba mali za uma hata akiwa tajiri ataiba tu maana pesa haina kutoshekaga. Ila kama ana maono na anaweza kutatua/kufikisha kero za wananchi akawa mwakilishi mwema hakuna shida mkuu.Kuna yule kule nzega Vijijini kaenda na baiskeli, nadhani huyo mnaendana fikra.