Peter Kupaza, Mtanzania aliemuua dada yake nchini Marekani

Kwanini peter aseme dada yake karudi tanzania,hii kesi nliisoma kitambo peter ushahidi mwingi ulimbana yeye..kwanini aseme aliongea na baba yake mwivano wakati ni uwongo
Mkuu wanasema alidanganya ili kukwepa mkono wa sheria dada ake visa ilikuwa imeexpire...uwongoo wa wabongo huo umemletea msala
 
Ndio mkuu...

Huyo mama mi nakwambia ndo mhusika mkuu, maana kesi aliishadadadia kuhakikisha jamaa hachomoki!

Mpaka kawaleta wazazi wa mwivano, hiyo plot kacheza huyo mama, yaan mambo yote yamesetiwa[emoji849][emoji848]
Yaani huyo mama mzungu amchukue kupaza kutoka Tanzania mpaka marekani ghafla awe hampendi tena, unaweza kuta kupaza alikuwa anatembea na Binamu yake. Sasa hili ni Kosa
 
Hii iko siku nyingi sana hapa jukwaani na tumeijadili sana.
 
Tatizo Kupaza muongo muongo sana
 
inasikitisha sana....but sijaona sehemu ya ushahidi unaonyesha au kusema kuna baadhi ya alama za mshukiwa katika kuharamisha uharamia wake........kinachoonekana ....mkewe kupaza aliondoka akiwa na hasira za kuingiliwa ndoa yake....so alikuwa na hasira na wote wawili.....kupaza na mwivano..........akaandaa mpango maalum wa kuwamaliza......yule mdhungu aliyekuwepo kando mwa mto siku mabaki yanaonekana.....anajua picha nzima.....sbb KUPAZA ni BLACK, hakupewa wakili mwenye weledi....ushahidi mwingi ni wa kupandikiza.....inawezekana kweli mwivano aliondoka, au walishirikiana na mtalaka wake......but RIP Mwivano......tutakutana tena....
 
Unenikumbusha mbali sana
 
Kwa mazingira ya Kesi na ushahidi kwa ujumla Bw.Kupaza asingeweza kuchomoka ,na asilimia 80 zinamtia hatiani kutokana na maelezo yake binafsi
1. Kama alijua mtu aliyekuwa anaishi naye alikuwa amekufa kwanini hakusema ukweli pamoja na kudhihirisha mwili wa marehemu kuwepo, bali alibisha kwamba ameenda Tanzania
2.kwanini alidanganya mahakama kwamba ameongea na wazazi wa mwampashi ilhali hakuwa amefanya hivo
3. Kwanini aliandika awe contact person wake kwenye kazi aliyokuwa ameomba ilhali mtu mwenyewe alikuwa anajua ameshaenda Tanzania

All in all hatujui kwanini alifanya unyama mkubwa wa aina hyo kwa ndugu yake ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…