Kwa mazingira ya Kesi na ushahidi kwa ujumla Bw.Kupaza asingeweza kuchomoka ,na asilimia 80 zinamtia hatiani kutokana na maelezo yake binafsi
1. Kama alijua mtu aliyekuwa anaishi naye alikuwa amekufa kwanini hakusema ukweli pamoja na kudhihirisha mwili wa marehemu kuwepo, bali alibisha kwamba ameenda Tanzania
2.kwanini alidanganya mahakama kwamba ameongea na wazazi wa mwampashi ilhali hakuwa amefanya hivo
3. Kwanini aliandika awe contact person wake kwenye kazi aliyokuwa ameomba ilhali mtu mwenyewe alikuwa anajua ameshaenda Tanzania
All in all hatujui kwanini alifanya unyama mkubwa wa aina hyo kwa ndugu yake ,